GET /api/v0.1/hansard/entries/1222977/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1222977,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1222977/?format=api",
"text_counter": 76,
"type": "speech",
"speaker_name": "Nyali, UDA",
"speaker_title": "Hon. Mohammed Ali",
"speaker": null,
"content": "kwa mujibu wa Ibara ya 45(2) ya Katiba na Kifungu cha 162 cha Sheria ya Adhabu ili kuikinga jamii, hasa watoto na vijana, dhidi ya kufikiwa na mielekeo potovu ya mapenzi na ndoa ya jinsia moja. Mhe. Spika, labda nikianza kuizungumzia Hoja hii ni wazi kwamba mengi yamekuwa yakisemwa katika vyombo vya habari na tumeyaona matukio mbalimbali humu nchini."
}