GET /api/v0.1/hansard/entries/1222981/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1222981,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1222981/?format=api",
"text_counter": 80,
"type": "speech",
"speaker_name": "Nyali, UDA",
"speaker_title": "Hon. Mohammed Ali",
"speaker": null,
"content": "inasema, “Na hawa wanaume wawili wanaofanya uchafu miongoni mwenu waadhibuni wote wawili”. Hilo ni neno la Mungu: “waadhibuni wote wawili”. Watakaotubu watasamehewa. Ukienda pia katika Juzu 12:82 inasema, “Basi ilipofika amri yetu, tulifanya (ardhi hiyo iwe juu chini); juu yake kuwa chini yake, na tukawateremshia mvua ya changarawe za udongo mgumu (wa motoni uliokamatana). (Changarawe) zilizotiwa alama kwa Mola (kila moja kuwa ya mtu fulani). Na (adhabu) hii haiko mbali na madhalimu.” Hii ni adhabu iliyotokea miaka ya nyuma. Kwa wale ambao ni Wakristo nitawarejesha katika Bibilia mambo ya Sodoma na Gomora. Kumbukeni vile ambavyo hawa watu waliangamizwa na Mwenyezi Mungu kwa kuenda kinyume na dini na maadili. Leo nimebeba Quran na Bibilia ndani ya Bunge ili iwe kielelezo kwamba tusiongozwe na sheria za binadamu tu ambazo haziwezi kushinda sheria za Mwenyezi Mungu. Kwa wale The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}