GET /api/v0.1/hansard/entries/1222982/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1222982,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1222982/?format=api",
"text_counter": 81,
"type": "speech",
"speaker_name": "Nyali, UDA",
"speaker_title": "Hon. Mohammed Ali",
"speaker": null,
"content": "wanaosoma Bibilia, wanajua Bibilia iko wazi kabisa. Bibilia inazungumzia mambo haya ya uchafu. Leo hii, labda wale ambao hawasomi vitabu hivi vitakatifu watapata fursa ya kujua haya maneno ninayoyazungumzia, Mhe. Spika Muda. Katika Walawi 20:13, Mwenyezi Mungu anasema nini? Anasema, “Kama mwanaume yeyote akilala na mwanaume mwenzake kana kwamba ni mwanamke, basi wote wawili ni lazima wauawe kwani wamefanya jambo lililo chukizo; watawajibika kwa umwagikaji wa damu yao wenyewe.” Ninaona kuna Mhe. anasema nirudie. Nitarudia maana haya siyo maandiko yangu bali ni maandiko yake Mwenyezi Mungu. Anasema, “Kama mwanamume yeyote akilala na mwanaume mwenzake kana kwamba ni mwanamke, basi wote wawili ni lazima wauawe.”"
}