GET /api/v0.1/hansard/entries/1222987/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1222987,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1222987/?format=api",
    "text_counter": 86,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Nyali, UDA",
    "speaker_title": "Hon. Mohammed Ali",
    "speaker": null,
    "content": "ni karatasi tu! Leo tunatembea duniani tukitafuta riziki lakini hatuombi ya dunia; tunaomba ya kesho. Tukatae kufanya mambo ambayo Mwenyezi Mungu ametukataza. Ningependa tuige nchi zetu jirani. Tanzania wamepiga marufuku tabia hizi potovu. Rais wa Uganda, Yoweri Kaguta Museveni, ametia sahihi sheria inayoharamisha tabia zizo hizo. Amewaambia Wazungu kwamba ikiwa watatumia tabia hizo kama chombo cha kuwatega ili The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}