GET /api/v0.1/hansard/entries/1222988/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1222988,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1222988/?format=api",
"text_counter": 87,
"type": "speech",
"speaker_name": "Nyali, UDA",
"speaker_title": "Hon. Mohammed Ali",
"speaker": null,
"content": "wapatiwe misaada, heri wafe njaa. Hakika, heri tufe njaa badala ya kukubali ushoga na usagaji nchini. Rais Yoweri Kaguta Museveni amekataa kata kata mambo haya na kusema kuwa ikiwa Wazungu wanashinikiza kuhalalishwa kwa tabia hizo potovu, basi na wawekwe pamoja ‘mabeberu’ wawili yaani wanaume wawili mashoga katika jela. Wakizaa mtoto, basi tutawaamini na tutawaachilia."
}