GET /api/v0.1/hansard/entries/1222997/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1222997,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1222997/?format=api",
    "text_counter": 96,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Nyali, UDA",
    "speaker_title": "Hon. Mohammed Ali",
    "speaker": null,
    "content": "hawaelewi tunazungumzia nini. Tabia ya kuenda kinyume na maumbile iko na athari zake pia za kiafya. Msije mkafurahi mkajiona mabeberu mashoga mwatembea barabarani; iko na athari zake zikiwemo za kiafya na nitawaeleza. Na mkumbuke haya yote tunayopitia hivi sasa duniani, kwa mfano, hakujanyesha mvua kwa miaka minne; kuwepo njaa; matatizo ya hapa na pale; bibi na bwana kuteta; bwana kuua bibi; mama kuua watoto; na mambo mengine mengi ya ajabu ambayo hayajawahi kufanyika, msiseme ni depression. Hapana! Mungu amekasirika na sisi. Sisi si wacha Mungu tena! Sisi ni waongo. Sisi ni wanafiki. Sisi hatuombi Mungu. Sisi hatuheshimu Mungu. Matatizo ya kiafya yanayotokana na ushoga ni kama vile saratani. Kuna anal cancer na"
}