GET /api/v0.1/hansard/entries/1222999/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1222999,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1222999/?format=api",
"text_counter": 98,
"type": "speech",
"speaker_name": "Nyali, UDA",
"speaker_title": "Hon. Mohammed Ali",
"speaker": null,
"content": "Daktari yuko pale atatuelezea zaidi. Ushoga unaleta maradhi yote yanayotokana na Ukosefu wa Kinga Mwilini (UKIMWI). Utapata mwanaume mzima anajinyea kwa sababu hana control . Huwa kumeharibika kule nyuma, anapata bawasiri, anafurafura nakadhalika. Daktari yuko pale. Leo atazungumza Kiswahili. Atatusaidia na haya maneno. Najua amejitayarisha kabisa. Kuna fistula formation. Kumbuka mkojo una njia yake, lakini utapata mtu ana tatizo upande huo. Asilimia kubwa ya watu ambao wana haya matatizo imejificha. Sharti wafichuliwe. Kenya amkeni hii nchi isitawaliwe na wadhalimu. Tunataka hii nchi itawaliwe na sheria za Mungu na Katiba ya Kenya. Naona muda unanipa kisogo. Ningependa, Naibu Spika wa Muda, uniongezee muda. Wanaume wanaofanya tabia hizo wanalo tatizo linaloitwa penile trauma . Hawana nguvu tena za kiume."
}