GET /api/v0.1/hansard/entries/1223001/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1223001,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1223001/?format=api",
"text_counter": 100,
"type": "speech",
"speaker_name": "Nyali, UDA",
"speaker_title": "Hon. Mohamed Ali",
"speaker": null,
"content": " Asante sana, Mhe. Spika wa muda. Lesbians ama wasagaji wanatumia vitu kama mipira inayotolewa Ulaya na kisha wanauliza wanaume kama watawaweza. Nitakuweza vipi kama unatumia vitu vya ajabu? Fikra zao ni za jike. Kuna jike dume na mwanaume bwege. Hormones zao hazifanyi kazi. Napendekeza sheria kali itolewe iwe kabisa inaonyesha kwamba haya yote yakifanyika, lazima tuchukue hatua za kisheria kama Uganda na Tanzania."
}