GET /api/v0.1/hansard/entries/1223004/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1223004,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1223004/?format=api",
    "text_counter": 103,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Matuga, ANC",
    "speaker_title": "Hon. Kassim Tandaza",
    "speaker": null,
    "content": " Asante sana, Mhe. Spika wa Muda. Asante Mbunge wa Nyali, Mohamed Ali, ambaye anajulikana pia kama Jicho Pevu. Leo, Sheikh wetu ametusomea aya kutoka Quran takatifu. Baadaye, akageuka kuwa padri na kutuelekeza kwenye Bibilia hasa kwa wale wenzetu wa upande ule mwingine. Kufikia hapo nitasema, ‘ Takbir na Bwana asifiwe.’ Ametekeleza hayo yote mawili."
}