GET /api/v0.1/hansard/entries/1223005/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1223005,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1223005/?format=api",
"text_counter": 104,
"type": "speech",
"speaker_name": "Matuga, ANC",
"speaker_title": "Hon. Kassim Tandaza",
"speaker": null,
"content": "Naunga mkono hii Hoja. Kuna viwango vitatu ambavyo jambo linalofaa ama lisilofaa, hupitia kabla likubalike. Kuhusu hili suala, tumefikia kiwango cha tatu. Kiwango cha kwanza ni kulibwaga. Kwa Kiswahili, tunasema kubwaga viatu halafu watu wanaanza kushangaa. Kwa Kimombo inaitwa ‘ shock ’. Hiyo ilifanyika kitambo."
}