GET /api/v0.1/hansard/entries/1223010/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1223010,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1223010/?format=api",
"text_counter": 109,
"type": "speech",
"speaker_name": "Kilifi North, UDA",
"speaker_title": "Hon. Owen Baya",
"speaker": null,
"content": " Hoja yangu ya nidhamu, ukiniruhusu, Mhe. Spika wa Muda, ni kwamba si vizuri kuwa na mawazo mabaya juu yawenzako. Kwa lugha ya Kimombo ni ‘ to impute improper motive ’. Mheshimiwa amesema kwamba hawa Wabunge wamenunuliwa ili wachangie haya maneno. Hawa ni watu walio na heshima zao. Tafadhali toa jambo hilo, yaani withdraw kwa lugha ya kimombo kisha uendelee na Hoja yako vizuri bila kuhusisha Wabunge katika hayo maneno."
}