GET /api/v0.1/hansard/entries/1223013/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1223013,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1223013/?format=api",
"text_counter": 112,
"type": "speech",
"speaker_name": "Matuga, ANC",
"speaker_title": "Hon. Kassim Tandaza",
"speaker": null,
"content": " Nimesema, ‘Baadhi yao’ wala siyo wote. Nafikiri wenyewe wako hapa. Wengine watajitokeza. Haya mazungumzo yako. Nimesema kwamba tumefika katika kitengo cha tatu. Tuwapatie onyo tu. Wale ambao wana fikra kama hizi wajue kwamba watalaaniwa. Sheikh, ama padre Mohamed Ali ametuambia hivyo na amenukuu vitabu vya Mwenyezi Mungu. Samahani kwa wale ambao hawana fikira kama hizo. Wale walio na fikira kama hizo, shetani ashindwe."
}