GET /api/v0.1/hansard/entries/1223015/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1223015,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1223015/?format=api",
    "text_counter": 114,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Matuga, ANC",
    "speaker_title": "Hon. Kassim Tandaza",
    "speaker": null,
    "content": "Kuna suala la kuchapisha nyaraka na taarifa kuhusu ushoga na usagaji. Hili lilibainika wiki iliyopita ambapo kulisambazwa picha za wake wa marais katika hafla fulani. Mmoja wa wake hao alikuwa mwanaume aliyekuwa amevalia suti. Alikuwa amenyooka kabisa na ni mrefu kuniliko. Alikuwa amesimama nyuma ya wake wa marais. Chini ya ile picha ilikuwa imeandikwa kwamba tusishangae huyo aliyesimama ni mke wa mmoja wa marais waliokuwepo hapo. Ikiwa tumefikia kiwango cha mwanaume kusimama na wanawake na kukubali kwamba ni mke wa mwanamume mwenzake, basi, moja kwa moja, kuna athari kwa jamii. Hicho ndicho kiwango tutafikia kisha tutaanza kushabikia. Tutasema kwamba ukikubali The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}