GET /api/v0.1/hansard/entries/1223016/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1223016,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1223016/?format=api",
"text_counter": 115,
"type": "speech",
"speaker_name": "Matuga, ANC",
"speaker_title": "Hon. Kassim Tandaza",
"speaker": null,
"content": "kuwa mke wa mtu fulani ambaye ni rais, utapata umaarufu. Labda utaitwa ‘mwanamke wa kwanza’ ama ‘mwungwana wa kwanza’. Tufahamu ya kwamba hizi ni mbinu za kishetani juu ya wale ambao wamepotoka na yale mataifa ambayo yanajua hayana nidhamu wala raha mbele ya Mwenyezi Mungu."
}