GET /api/v0.1/hansard/entries/1223022/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1223022,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1223022/?format=api",
"text_counter": 121,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Martha Wangari",
"speaker_title": "The Temporary Speaker",
"speaker": {
"id": 13123,
"legal_name": "Martha Wangari",
"slug": "martha-wangari"
},
"content": "Kabla tuanze huu mjadala, ningependa kutumia huu wakati kuwatambua wanafunzi kutoka Shule ya Upili ya Wasichana ya Mwasere, Eneo Bunge la Mwatate, Kaunti ya Taita Taveta. Wameketi kwenye Ukumbi wa Umma. Kwa niaba yangu na kwa niaba ya Jumba hili lote, ninawakaribisha. Nafasi hii itamwendea Mbunge wa Laikipia Kaskazini, Mhe. Sarah Korere."
}