GET /api/v0.1/hansard/entries/1223034/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1223034,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1223034/?format=api",
    "text_counter": 133,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Seme, ODM",
    "speaker_title": "Hon. (Dkt) James Nyikal",
    "speaker": null,
    "content": "Mungu alivyotuumba, kila ungo la mwanadamu lina kazi yake. Hatuwezi kubadilisha viungo vifanye kazi tofauti. Mdomo ni wa kusema na kukula, mkono ni wa kushika vitu na kufanya kazi, na miguu ni ya kutembea. Sehemu zetu za siri ziko na kazi zao. Sehemu ya siri ya mke ni kuchukua mbegu na badaye kuzaa mtoto. Je, ina kazi nyingine? Sehemu ya siri ya mume ni ya kupanda mbegu na kutoa mkojo. Je, ina kazi nyingine? Ukiangalia matiti, wanaume huitamani lakini kazi yake ni kutoa maziwa ya mtoto kunyonya. Kingine utachoongeza ni…"
}