GET /api/v0.1/hansard/entries/1223036/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1223036,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1223036/?format=api",
"text_counter": 135,
"type": "speech",
"speaker_name": "Seme, ODM",
"speaker_title": "Hon. (Dkt) James Nyikal",
"speaker": null,
"content": "Mungu alifanya trick hapo kidogo ulipende titi lakini kazi aliyotaka lifanye ni kumulisha mtoto maziwa ili akue. Ukiona matako ni makubwa, utayatamani lakini yana maana gani kwa kiumbe? Kama matako ni makubwa, sehemu apitiayo mtoto azaliwapo pia ni kubwa. Kwa hivyo, mtoto atapita bila shida akizaliwa. Kila siku tunasema kina mama wanakufa wakati wanapozaa. Njia ya uzazi ikiwa ndogo, mtoto hataweza kutoka na mama hufa. Kwa hivyo, njia ya uzazi ikiwa kubwa ni sawa. Kama unatamani, huo ni mpango wa Mungu utamani kitu ambacho kitamfanya mama azae vizuri. Ukipanda mbegu lazima utamani njia itakayopitia. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}