GET /api/v0.1/hansard/entries/1223039/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1223039,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1223039/?format=api",
    "text_counter": 138,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Seme, ODM",
    "speaker_title": "Hon. (Dkt) James Nyikal",
    "speaker": null,
    "content": "nyingi hutokana na kanisa. Hakuna tofauti sana kati ya dini na sayansi. Kwa nini hatutaki mambo hayo yatangazwe? Ni kwa sababu tabia ya binadamu inalingana na vile ambavyo aliumbwa, na kuna tabia ingine ambayo binadamu anajifunza katika mazingira yake. Hapo ndipo kuna tofauti kati yetu na wanyama. Sisi tunaweza kujifunza tabia. Mtoto wa kike anapozaliwa, anaona tabia ya watoto wa kike. Akizaliwa mtoto wa kiume, anaona tabia ya watoto wa kiume. Tukikubali watu wengine walete mambo mengine, watoto wetu watapotoshwa na wataanza kuiga tabia mbaya."
}