GET /api/v0.1/hansard/entries/1223043/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1223043,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1223043/?format=api",
    "text_counter": 142,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mhe. Martha Wangari",
    "speaker_title": "Spika wa Muda",
    "speaker": {
        "id": 13123,
        "legal_name": "Martha Wangari",
        "slug": "martha-wangari"
    },
    "content": " Wabunge, tafadhali tutilie maanani Kanuni ya Kudumu 77: “77. (1) Shughuli zote za Bunge la Taifa zitaendeshwa kwa Kiswahili, Kiingereza au Lugha Ishara ya Kenya. (2) Mbunge anapoanza kutoa mchango wake katika lugha yoyote kati ya zile zilizotajwa katika aya ya (1), ataendelea kwa lugha hiyo hadi mwisho wa mchango wake.” Tusichanganye lugha. Tufuate sheria zetu."
}