GET /api/v0.1/hansard/entries/1223049/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1223049,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1223049/?format=api",
"text_counter": 148,
"type": "speech",
"speaker_name": "Matuga, ANC",
"speaker_title": "Mhe. Kassim Tandaza",
"speaker": null,
"content": " Ahsante, Spika wa Muda. Ningetaka kujua kama ni sawa kwa Naibu Kiongozi wa Chama cha Walio Wengi kusema kwamba kwa sababu Katiba inatupatia uhuru wa kuzungumza lolote, basi mtu anaweza kuanza kusambaza kwamba labda watu waanze kukatana vichwa na iwe ni halali. Ahsante."
}