GET /api/v0.1/hansard/entries/1223052/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1223052,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1223052/?format=api",
"text_counter": 151,
"type": "speech",
"speaker_name": "Nyali, UDA",
"speaker_title": "Mhe. Mohamed Ali",
"speaker": null,
"content": " Shukran sana, Mhe. Spika wa Muda. Naibu Kiongozi wa Chama cha Walio Wengi amesema kwamba Katiba inapatia watu uhuru wa kuzungumza. Lakini ni sharti arudi katika hiyo hiyo Katiba. Haijakupatia uhuru wa kuzungumzia ushoga na usagaji. Katiba imekupa uhuru wa kuzungumza, lakini sio kuzungumza yale ambayo yako kinyume na Katiba yetu na dini zetu. Katiba imekataa. Uhuru wa kuzungumza uko, lakini sio uhuru wa kuzungumza jinsi tutaongeza mashoga na wasagaji nchini Kenya. Shukran. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}