GET /api/v0.1/hansard/entries/1223057/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1223057,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1223057/?format=api",
    "text_counter": 156,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Nakuru Mjini Mashariki, UDA",
    "speaker_title": "Mhe. David Gikaria",
    "speaker": null,
    "content": " Mhe. Spika wa Muda, mnenaji ambaye ni msaidizi wa Kiongozi wa Walio Wengi katika Bunge anatuambia kwamba Katiba imepiga marufuku, na ninakubali. Lakini pia lazima aelewe kwamba Katiba inatoa ile kupiga marufuku. Yale ambayo ndugu yetu Mohammed Ali, Mheshimiwa wa Nyali, anataka ni tupige"
}