GET /api/v0.1/hansard/entries/1223059/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1223059,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1223059/?format=api",
"text_counter": 158,
"type": "speech",
"speaker_name": "Nakuru Mjini Mashariki, UDA",
"speaker_title": "Mhe. David Gikaria",
"speaker": null,
"content": "au kuweka kipengee katika Sheria kinachosema ni hatia kufanya ushoga ama usagaji. Kitabainisha usagaji na ushoga ni nini. Halafu, kipengele hicho kitatoa faini. Hilo ndilo ndugu yangu, Mohamed Ali, anataka."
}