GET /api/v0.1/hansard/entries/1223077/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1223077,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1223077/?format=api",
"text_counter": 176,
"type": "speech",
"speaker_name": "Nakuru Mjini Mashariki, UDA",
"speaker_title": "Mhe. David Gikaria",
"speaker": null,
"content": " Mhe. Spika wa Muda, pengine ungetoa mwelekeo wakati tunapojadiliana jambo hili ya kwamba kila mnenaji aseme msimamo wake. Kama hauungi mkono Hoja ama kuipinga, yafaa utoe msimamo ndiposa tujue. Mimi nasimama kama Mbunge wa Nakuru kuwa mimi sio shoga na naunga mkono Hoja hii."
}