GET /api/v0.1/hansard/entries/1223078/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1223078,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1223078/?format=api",
"text_counter": 177,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mhe. Martha Wangari",
"speaker_title": "Spika wa Muda",
"speaker": {
"id": 13123,
"legal_name": "Martha Wangari",
"slug": "martha-wangari"
},
"content": " Ahsante Mhe. Gikaria. Tumekuskia, lakini Hoja iliyo hapa unaweza kuunga mkono bila kutangaza vile unavyoshiriki mambo ya ngono, isiwe baadhi ya mambo ambayo tunatazamia katika Mjadala huu. Tujadili Hoja hii ilivyo. Mhe. Susan, tafathdali endelea."
}