GET /api/v0.1/hansard/entries/1223087/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1223087,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1223087/?format=api",
"text_counter": 186,
"type": "speech",
"speaker_name": "Luanda, DAP-K",
"speaker_title": "Mhe. Dick Oyugi",
"speaker": null,
"content": "Nashukuru wenzetu katika nchi za Afika kama Uganda, Tanzania na Rwanda, ambao wamekataa mambo haya. Naomba kwamba pia sisi kama Kenya tuwe mstari wa mbele. Japo kuwa Katiba inasema ni hatia kushiriki katika mambo haya, bado Mahakama iliwakubali hawa wangwana kuunda vikundi tofauti tofauti. Hili ni jambo la kukera, kusikitisha na halileti furaha katika maisha yetu."
}