GET /api/v0.1/hansard/entries/1223091/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1223091,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1223091/?format=api",
    "text_counter": 190,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Naivasha, UDA",
    "speaker_title": "Mhe. Jayne Kihara",
    "speaker": null,
    "content": " Bw. Spika wa Muda, nashukuru kwa kunipa nafasi hii ili nizungumzie jambo hili ambalo ni la kusikitisha sana. Kama nchi au dunia, tumefikia wakati wa kuzungumzia mambo ya ushoga na usagaji. Kama Bibilia inavyosema, wakati wa mwisho, tutasikia maajabu. Labda dunia inaelekea kuisha. Marehemu Rais Moi – Mungu amlaze mahali pema peponi – alikuwa anatuambia kila wakati kuwa wazungu hawatupendi. Ni kama hatukutilia maanani maneno hayo lakini, kusema The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}