GET /api/v0.1/hansard/entries/1223096/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1223096,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1223096/?format=api",
"text_counter": 195,
"type": "speech",
"speaker_name": "Masinga, Independent",
"speaker_title": "Mhe. Joshua Mwalyo",
"speaker": null,
"content": " Ahsante sana Mhe. Naibu Spika wa Muda, kwa kunipatia nafasi hii kuzungumzia Hoja hii ambayo imeletwa na Mhe. Mohammed Ali ili tuweze kulitilia mkazo. Sasa tunataka kulizungumzia kwa kinaga ubaga. Jambo hili ni la kigeni; sio la kiafrika. Hatuwezi sahau mila zetu kwa sababu tumesoma ama tumeenda ng’ambo na tumerudi. Hata ukienda wapi, nyumbani ni nyumbani. Kwa hivyo, nataka nizungumze niseme ya kwamba tangu zamani, wakati wa kuumba dunia, Mungu akiumba mwanadamu haikua hivi. Kwa hivyo, inastahili turudi katika maumbile The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}