GET /api/v0.1/hansard/entries/1223099/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1223099,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1223099/?format=api",
    "text_counter": 198,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Lamu East, JP",
    "speaker_title": "Mhe. Ruweida Mohamed",
    "speaker": {
        "id": 2100,
        "legal_name": "Shariff Athman Ali",
        "slug": "shariff-athman-ali"
    },
    "content": " Ahsante, Mhe. Naibu Spika wa Muda, kwa kunipa nafasi hii ili nipate kuchangia. Moja kwa moja, nataka nimpongeze ndugu yetu, Mhe. Mohammed Ali, kwa kuleta Hoja hii. Hoja hii imeambatana na Katiba, maanake kama kitu kinakatazwa na Katiba, basi Katiba hiyo hiyo inafaa ikataze kusambazwa kwake. Ikiwa wewe ni muuzaji wa bhangi na bhangi inakatazwa kwenye Katiba, huwezi kuruhusiwa kuenda kuisambaza ile habari na uuze ile bhangi. Kwa hivyo, ni sawa sawa na Hoja hii inavyosema tukataze na tupinge hizi mbinu zozote ambazo wanatumia ili kusambaza maneno haya ya usagaji na ushoga. Mimi nataka niende kwa dhamira. Dhamira ya mwanadamu inakataa mambo haya katika akili zetu. Dhamira katika akili zetu haikubali jambo hili la ushoga na usagaji. Lazima The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}