GET /api/v0.1/hansard/entries/1223100/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1223100,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1223100/?format=api",
"text_counter": 199,
"type": "speech",
"speaker_name": "Lamu East, JP",
"speaker_title": "Mhe. Ruweida Mohamed",
"speaker": {
"id": 2100,
"legal_name": "Shariff Athman Ali",
"slug": "shariff-athman-ali"
},
"content": "mtu huyo awe na kasoro ili kuikubali. Hakuna utamaduni wetu wa Waafrika ama wa Kenya ambao unakubali jambo hili. Ni wazi kuwa inafaa haya mambo ya kuchapisha vitabu au kusambaza vitu hivi vikatazwe. Nataka pia nizungumze kuhusu muktadha. Sisi kama Waafrika hatuliungi mkono jambo hili. Halikuwa linazungumziwa zamani. Saa hii, tumelizungumzia. Limeletwa na hao watu wanaotuletea msaada kwa sababu ya umaskini wetu. Afadhali tukufe na njaa. Umaskini ni wetu. Tumeishi hivyo na tutaendelea kuishi bila wao."
}