GET /api/v0.1/hansard/entries/1223101/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1223101,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1223101/?format=api",
"text_counter": 200,
"type": "speech",
"speaker_name": "Lamu East, JP",
"speaker_title": "Mhe. Ruweida Mohamed",
"speaker": {
"id": 2100,
"legal_name": "Shariff Athman Ali",
"slug": "shariff-athman-ali"
},
"content": "Misingi ya pamoja, common ground, na misimamo ya dini zote za Kenya haziungi mkono jambo hili. Tumeambiwa kwa Quran na Bibilia aya ambazo zinapinga jambo hili. Sasa hakuna haja tuunge mkono kitu ambacho kinapingwa na dini zote. Dini ikipinga kitu, kuna sababu. Qowmu Lut waliadhibiwa vikali. Je, twataka tujiunge na wao na tuadhibiwe vikali? Zile adhabu ambazo saa hizi Mwenyezi Mungu anatupatia, bado hatujatosheka. Mara kuna jua, kiangazi na ukame. Ikiwa ni mvua, ni mafuriko."
}