GET /api/v0.1/hansard/entries/1223107/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1223107,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1223107/?format=api",
    "text_counter": 206,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Lamu East, JP",
    "speaker_title": "Hon. Ruweida Mohamed",
    "speaker": {
        "id": 2100,
        "legal_name": "Shariff Athman Ali",
        "slug": "shariff-athman-ali"
    },
    "content": " Asante, Mhe. Spika wa Muda. Jambo hili la usagaji na ushoga ni la kuchukiza. Mwanaume anabadilishwa anakuwa mboga. Ukimwona analegeza mikono yaani utashangaa amekuwa kabichi. Amelainika namna ile na si maumbile alioumbwa na Mwenyezi Mungu. Tena anajilegeza zaidi kushinda hata wanawake. Ata amekosesha wanawake wengine market ."
}