GET /api/v0.1/hansard/entries/1223160/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1223160,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1223160/?format=api",
    "text_counter": 259,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Samburu East, KANU",
    "speaker_title": "Hon. Jackson Lekumontare",
    "speaker": null,
    "content": "Ninashukuru Mheshimiwa Rais wa Kenya kwa sababu alisimama na akanena na akatoa maoni yake. Sisi tukiwa viongozi ni vyema zaidi tuungane pamoja tuyapinge yale tunayoletewa na tunaona haina maana kwa jamii zetu. Tunafaa kulea watoto wetu wanaosoma na wale ambao hawasomi kwa njia nzuri, na inayopendeza jamii na pia Mungu."
}