GET /api/v0.1/hansard/entries/1223161/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1223161,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1223161/?format=api",
    "text_counter": 260,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Samburu East, KANU",
    "speaker_title": "Hon. Jackson Lekumontare",
    "speaker": null,
    "content": "Mhe. Spika wa Muda, haya mambo nimejaribu kukaa na kuyafikiria ata kwa lugha yangu mwenyewe. Usagaji ni nini? Nimeshindwa hata nitaambia watu usagaji ni nini maana hakuna kwa mila za kiafrika. Hili ni jambo la kushtua kabisa. Tunafaa kushikana pamoja tuweke sheria vizuri. Pahali ambapo kuna mwanya iliyopitia kortini, sisi kama Bunge la kitaifa ni vyema tuweze kuangalia kwa nini majaji wamepata mwanya huo. Tuangalie kwa Katiba yetu mahali ambapo sheria haiko wazi."
}