GET /api/v0.1/hansard/entries/1223162/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1223162,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1223162/?format=api",
"text_counter": 261,
"type": "speech",
"speaker_name": "Samburu East, KANU",
"speaker_title": "Hon. Jackson Lekumontare",
"speaker": null,
"content": "Kwa hivyo, naiunga mkono Hoja ambayo imeletwa na Mheshimiwa wa Nyali. Ni jambo ambalo linabidi tusimame pamoja na tuweze kuelekeza, ili wananchi wetu wajue msimamo wa Bunge hili ni huu. Kujaribu kuwaza na kuwazua jambo hili ni ngumu kabisa. Eti ya kwamba kuna kikundi cha watu ambacho kilipeleka hili jambo kortini. Sijui walipata aje nafasi ya kuwa katika nchi ya Kenya. Ata jamii zingine zikijua mambo kama haya, sijui kama hawa watu wataweza kuishi waliko. Niliwahi sikia kuna dini ambayo inataka kuleta kitu kama hiki. Dini hiyo inastahili kuchunguzwa. Dini imekuwa na mambo mengi sana, lakini haya mambo ya kuunga mkono mambo ya ushoga na usagaji haifai kuwa katika nchi ya Kenya."
}