GET /api/v0.1/hansard/entries/1223222/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1223222,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1223222/?format=api",
    "text_counter": 42,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Lamu East, JP",
    "speaker_title": "Hon. Ruweida Mohamed",
    "speaker": {
        "id": 2100,
        "legal_name": "Shariff Athman Ali",
        "slug": "shariff-athman-ali"
    },
    "content": " Ahsante sana, Mhe. Naibu Spika, kwa kunipa nafasi kuwakaribisha watoto wangu wa Tchundwa Primary School kutoka Lamu East, Faza Ward. Wametoka mbali. Walitoka saa tisa asubuhi ili wapate boti, maji iwaruhusu wafike Mokowe. Ili wafike Nairobi, wameondoka huko saa tatu na kufika saa tisa usiku. Nachukua nafasi hii niwaombe watoto wangu wasome. Tumewaleta hapa musome na muangalie dunia ilivyo Nairobi. Watu wamesoma. Kusoma ni muhimu. Musome ili kule kwetu kujengwe kuwe kama Nairobi. Sisi tumesoma na tunaambiwa tujipange ama tutapangwa. Masomo ndio"
}