GET /api/v0.1/hansard/entries/1223224/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1223224,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1223224/?format=api",
"text_counter": 44,
"type": "speech",
"speaker_name": "Lamu East, JP",
"speaker_title": "Hon. Ruweida Mohamed",
"speaker": {
"id": 2100,
"legal_name": "Shariff Athman Ali",
"slug": "shariff-athman-ali"
},
"content": "Mmeingia Kenyatta International Convention Centre (KICC), mumeenda Nairobi School, na pia kule tumeambiwa tujihadhari kabla ya hatari. Kwa hivyo, sisi tuna mambo mengi. Hatari iko karibu na sisi. Kwa hivyo, naona mutakayoyasoma hapa muende mukafanye bidii ili pia nyinyi mchukue nafasi hizi. Muje mfanye kazi Nairobi. Sio kwamba wengine waandikwe kazi lakini sisi Wabajuni tuwachwe nyuma. Karibuni sana. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}