GET /api/v0.1/hansard/entries/1223253/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1223253,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1223253/?format=api",
    "text_counter": 73,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Lamu East, JP",
    "speaker_title": "Hon. Ruweida Mohamed",
    "speaker": {
        "id": 2100,
        "legal_name": "Shariff Athman Ali",
        "slug": "shariff-athman-ali"
    },
    "content": "Katika barabara ya kwenda Kiunga, hakuna gari linapita. Kukiwa na jambo la dharura Kiunga, lazima utumie bahari, ambayo saa zingine ina mawimbi makali. Watu wengi wamepata ajali nyingi. Naunga mkono huyu Mheshimiwa. Maombi yake yafuatiliziwe na pia katika sehemu zingine."
}