GET /api/v0.1/hansard/entries/1223587/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1223587,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1223587/?format=api",
"text_counter": 104,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. (Dr.) Murango",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13585,
"legal_name": "Murango James Kamau",
"slug": "murango-james-kamau"
},
"content": "Asante Bw. Spika kwa kunipa nafasi hii ili kuchangia Hoja hii kuhusu upanzi wa miti. Namsihi Sen. (Dr.) Oburu kwamba anapoalika marafiki wake kama Sen. Cheruiyot kuona miti waliopanda, vile vile aalike maadui wake kama mimi ili pia twende kuiona kwa sababu upanzi wa miti ni wa kila mtu. Kubadilika kwa hali ya anga kunachangiwa pakubwa na kukosa kupanda hasa miti ya kiasili kwenye vyanzo vya maji. Sen. (Dr.) Oburu amesema kwamba maji yanaelekea kwenye Ziwa Viktoria wakati mvua inaponyesha katika nyanda za juu."
}