GET /api/v0.1/hansard/entries/1223589/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1223589,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1223589/?format=api",
    "text_counter": 106,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. (Dr.) Murango",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13585,
        "legal_name": "Murango James Kamau",
        "slug": "murango-james-kamau"
    },
    "content": "Ningependa afahamu kuwa mito hiyo pia huelekeza maji yake kwenye Ziwa Viktoria. Kwa hivyo, kuna faida pande zote mbili. Nina Hoja kuhusu upanzi wa miti. Hata hivyo, kuna aina ya miti ambayo haifai kupandwa katika maeneo ya chemichemi. Naunga mkono Hoja hii. Mvua imeanza kunyesha. Kwa hivyo tupande miti kwa wingi ili kuhifadhi sehemu ambazo ni chemichemi ili tupate mvua ya kutosha. Asante sana."
}