GET /api/v0.1/hansard/entries/1223647/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1223647,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1223647/?format=api",
    "text_counter": 164,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Munyi Mundigi",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Ningependa kuomba Serikali kwa sababu pesa nyingi zitatumika kwa wafanyikazi wao. Wizara ya Fedha na Mipango ya Maendeleo inafaa kutoa pesa kwa Wizara ya Maji, Usafi wa Mazingira na Unyunyiziaji wa Maji na zingine kama vile Wizara ya Uchimbaji wa Madini, Uchumi wa Bahari na Masuala ya Maji ili kuwezesha uchimbaji wa visima na mabwawa ya maji ambayo yatasaidia watu kutokana na athari za jua kali ili kuiwezesha miti ikue vizuri."
}