GET /api/v0.1/hansard/entries/1223980/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1223980,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1223980/?format=api",
    "text_counter": 129,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Kinyua",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13202,
        "legal_name": "John Kinyua Nderitu",
        "slug": "john-kinyua-nderitu-2"
    },
    "content": "Bw. Spika nilitaka kusema kwa sababu imeandikwa katika daftari zetu. Badala ya sisi kuwapongeza wanafunzi, itakuwaje sisi tutakuja kuwakosoa kwa kuwaambia yale wanayosoma hayana manufaa na kuwaambia wavuvi, wafugaji ni wa manufaa zaidi kushinda wanafunzi. Badala ya kuwapa wanafunzi motisha, anawadharau na kuwaonyesha masomo sio ya manufaa. Sisi tulioko hapa ni wasomi na weledi wa masomo. Asante."
}