GET /api/v0.1/hansard/entries/1224458/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1224458,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1224458/?format=api",
    "text_counter": 254,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Kinyua",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13202,
        "legal_name": "John Kinyua Nderitu",
        "slug": "john-kinyua-nderitu-2"
    },
    "content": "anaotupa hauridhishi. Tutaambiwa tu kwa barua. Waziri anapokuja mwenyewe, atakuwa anajibu maswali. Tayari Sen. M. Kajwang’ ameunga mkono kwa sababu amesema tutakuwa tunauliza Mawaziri maswali magumu. Alisema kuwa akiangalia Seneti hii, kura ikipigwa, Hoja hii itapitishwa. Huo ni ukweli. Mgala muue na haki umpe. Tumekuwa tukiuliza Wenyeviti maswali. Baada yao kuleta majibu, huwa tunalalamika kuwa hawajaleta majibu ya kuridhisha. Kwa hivyo, ni vyema tukubaliane."
}