GET /api/v0.1/hansard/entries/1224459/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1224459,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1224459/?format=api",
    "text_counter": 255,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Kinyua",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13202,
        "legal_name": "John Kinyua Nderitu",
        "slug": "john-kinyua-nderitu-2"
    },
    "content": "Bw. Spika, naomba wenzangu wa upande wa upinzani wakubali kwamba ni vyema Mawaziri wawe wakija hapa ili tuwaulize maswali kwa manufaa ya Wakenya wote. Wakija hapa, tutauliza maswali moja kwa moja kwa sababu watu wengi katika nchi hii huuliza maswali."
}