GET /api/v0.1/hansard/entries/1224690/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1224690,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1224690/?format=api",
    "text_counter": 74,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Martha Wangari",
    "speaker_title": "The Temporary Speaker",
    "speaker": {
        "id": 13123,
        "legal_name": "Martha Wangari",
        "slug": "martha-wangari"
    },
    "content": " Hoja ilioko kwenye Ukumbi huu uliowasilishwa na Mhe. Mohammed Ali imesalia dakika kumi na saba. Mhe. wa Turkana aliyekuwa kwenye kipaza sauti amebakisha dakika sita kama anataka kuzitumia. Kama hataki kuzitumia, kuna dakika saba alafu tutampatia mwenye kuwasilisha jibu. Vile vile ninaona kwamba kuna watu wengi wanataka kuzungumza na ni vizuri nijulishwe kama unataka kuongelea Hoja hii. Nijulishe kwenye hoja ya nidhamu ama"
}