GET /api/v0.1/hansard/entries/1224773/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1224773,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1224773/?format=api",
    "text_counter": 157,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Trans Nzoia County, UDA",
    "speaker_title": "Hon. Lillian Siyoi",
    "speaker": null,
    "content": " Ahsante sana Bw. Spika wa Muda kwa kunipa nafasi hii ili niweze kuchangia Hoja hii. Mambo ya monopoly yametuumiza kama nchi. Wafanyabiashara wanaumia na malalamishi yao hayajatiliwa maanani kwa sababu ni shirika moja tu ambalo linahusika na usambazaji wa umeme. Kwa hivyo, mimi pia naunga mkono Hoja hii kuwa bei ya umeme ipunguzwe. Ikiwezekana, shirika la KenGen linapaswa kupewa fursa ya kushiriki katika usambazaji wa umeme. Kama mkaaji wa Trans Nzoia na kama Mkenya, nimegundua kuwa watu wengi wanaumia kwa sababu ya bei ya umeme. Sasa hivi, ukinunua tokens za Ksh1,000 utapewa idadi tofauti kila mara. Basi tunashindwa ni njia ipi wanaotumia kuamua idadi ya"
}