GET /api/v0.1/hansard/entries/1224775/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1224775,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1224775/?format=api",
"text_counter": 159,
"type": "speech",
"speaker_name": "Trans Nzoia County, UDA",
"speaker_title": "Hon. Lillian Siyoi",
"speaker": null,
"content": "kwa sababu pesa ni zile zile. Tunatarajia kuwa idadi ya tokens iwe sawia kila wakati. Bw. Spika wa Muda, kama mkaaji wa Trans Nzoia, wakati mmoja nili apply kuunganishiwa nguvu za umeme. Niliambiwa kuwa transforma iliyokuwa pale hainge support usambazaji wa umeme kwa nyumba kadhaa."
}