GET /api/v0.1/hansard/entries/1224787/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1224787,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1224787/?format=api",
"text_counter": 171,
"type": "speech",
"speaker_name": "Trans Nzoia County, UDA",
"speaker_title": "Hon. Lillian Siyoi",
"speaker": null,
"content": "Gharama ya maisha iko juu sana na sababu moja ya hii ni bei ya umeme. Nchini, umeme unatumika kufanya kila kitu. Biashara zimeathirika kwa sababu bei ya umeme iko juu sana. Biashara nyingi pia zimeaanguka kwa sababu bei ya bidhaa imependa juu. Sisi kama watetezi wa Wakenya katika Bunge hili tunapaswa kushughulikia suala hili. Kwanza, tumalize"
}