GET /api/v0.1/hansard/entries/1224789/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1224789,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1224789/?format=api",
    "text_counter": 173,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Trans Nzoia County, UDA",
    "speaker_title": "Hon. Lillian Siyoi",
    "speaker": null,
    "content": "katika sekta hii. Pili, bei ya umeme iwe ya nafuu ili watu waweze kumudu. Tatu, KPLC imekuwa ikipeana kandarasi kwa wasambazaji binafsi wa umeme. Jambo hili linaharibu uchumi kwa sababu wanakandarasi hawa wamegeuka kuwa matapeli. Kuna wakaaji wa Trans Nzoia waliosambaziwa umeme na baadaye waliambiwa kuwa connection yao siyo halali. Wakaaji hawa waliumia sana kwa sababu walilipia maradufu ili wapate umeme."
}