GET /api/v0.1/hansard/entries/1225012/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1225012,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1225012/?format=api",
"text_counter": 98,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Kinyua",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13202,
"legal_name": "John Kinyua Nderitu",
"slug": "john-kinyua-nderitu-2"
},
"content": "Asante Bw. Spika. Sen. Mandago ndiye Mwenyekiti wa Kamati ya Afya. Kwa hiyo, ingekuwa vizuri awe wa mwisho kuongea baada ya sisi wengine kuchangia ili aweze kusikiliza maoni yetu kuhusu masuala haya. Naomba awe we mwisho na atupe uamuzi huo kulingana na vile anavyosema. Naomba kwa heshima, Bw. Spika."
}